.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 8 Agosti 2014

POLAND YAIOMBA KENYA KUWAKAMATA RAIA WAKE WANNE WANAOUZA DAWA ZA KULEVYA

Wapelelezi kutoka nchi ya Poland wameiomba nchi ya Kenya kuwasaidia kukamata watuhumiwa wa uuzaji wa dawa za kuelevya wanne raia wa nchi yao ambao wamejificha nchini Kenya.

Serikali ya Jamhuri wa Poland imeiandikia Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje kuomba watuhumiwa hao wakamatwe na kurejeshwa Poland kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya kupitia Kenya kwenda Poland na kuingiza sokoni Ulaya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni