.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 8 Agosti 2014

WHO YATANGAZA MLIPUKO WA EBOLA AFRIKA YA MAGHARIBI KUWA NI JANGA LA KIAFYA LA DHARURA

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kusambaa kwa ugonjwa hatari wa Ebola katika nchi za Afrika ya Magharibi kuwa ni janga la afya la dharura.

Maafisa wa shirika hilo wamesema kunauwezekani maafa ya ugonjwa huo yakawa makubwa kutokana kusambaa kwa virusi vya ugonjwa huo.

Tangazo hilo limetolewa baada ya mkutano wa dharura wa siku mbili huko Switzerland kujadili ugonjwa huo uliosababisha vifo vya watu 930 katika nchi za Afrika ya Magharibi katika mwaka huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni