Rais Uhuru Kenyatta amesema jumuiya
ya kimataifa haifanyi jitihada za kutosha kuisaidia Kenya kupambana
na ugaidi.
Akiongea kwenye mahojiano na CNN
Jijini Washington DC, Rais Kenyatta amesema ugaidi si suala la nchi
moja bali ni tatizo la dunia.
Ametoa mfano wa wakati Marekani
iliposhambuliwa na magaidi, dunia nzima iliungana nao katika
kukabiliana na ugaidi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni