.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Agosti 2014

SKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBU THAI VILLAGE TUSEBENEKE PAMOJA LEO


Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.....Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba, Mary Lucos na Sam Mapenzi.


Mary Lucos na Hashim Donode wakisebeneka huku Joniko Flower akipiga vocal kwenye show ya aina yake iliyowabamba mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

Kutunza inaruhusiwa hukatazwi ni motisha kwa wanamuziki kama inavyoonekana pichani mdau baada ya kuguswa na burudani ya Skylight Band.


Muddy Bawaziri naye alichomoa bulungutu lake la mijihela na kwenda kuwatunza waimbaji wa Skylight Band.


Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu HONEYYYY..! Babu wa kizungu naye alikuja kusebeneka na Skylight Band kama anayoonekana pichani.


                                                                   Mashabiki wakichizika na Skylight Band


Le Big Boss Rais wa #WanaManyoya Justine Ndege(kulia) akipata ukodak na mdau wa Skylight Band anayefahamika kwa jina la Machapta.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni