.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Agosti 2014

WAZIRI MKUU MH MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VYUO VIKUU NCHINI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimaiana na Mwenyekiti wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (THTU) Leah Ntara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua mkutano wa Baraza Kuu la Pili la THTU kwenye Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha August 21, 2014.Katikati ni Mwenyekiti wa THTU, Yusufu Singo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano Mkuu wa Pili wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu nchini (THTU) kwenye ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha August 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia zawadi ya nembo ya kioo yenye picha yake aliyopewa na Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu (THTU) kwenye ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mjini Arusha August 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni