.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

TWIGA MMOJA KATI YA WAWILI AFA BAADA YA KUJIGONGA KATIKA DARAJA AFRIKA KUSINI

Uchunguzi umeanza nchini Afrika Kusini kuhusinana na Twiga mmoja kati ya wawili waliokuwa wakisafirishwa kwa njia ya barabara kujigonga katika daraja fupi na kusababisha kifo chake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Pretoria. 

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo Thinus Botha mwenye miaka 32 ambaye aliwapiga picha twiga hao wakati wakisafishwa, ameandika katika mtandao wake wa Twitter jinsi twiga hyo alivyojigonga katika daraja la Garsfontein barabara ya N1, Pretoria. Tayari taasisi inayolinda haki za wanyama nchini Afrika Kusini imeanza kulichunguza tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni