.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

MKUTANO MKUU WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA KIKAPU AFRIKA WAFANYIKA MADAGASCAR

Rais wa FIBA, Yvan Mainini akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa kikapu duniani.

Sehemu ya ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu wa TBF, Salehe Zonga na Phares Magese ambaye ni mdau mkubwa wa mchezo wa kikapu nchini.

Makamu wa Rais wa NBA Akitoa mada kwenye mkutano huo.

Ndg. Phares Magesa ( katikati mwenye miwani ) akisalimiana na Rais wa FIBA Ndg.Yvan Mainini

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni