.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 8 Agosti 2014

UNAAMBIWA HIVIII: UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI IPO SKYLIGHT BAND PEKEE NDANI YA THAI VILLAGE LEO


Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mbepera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na isiyoshikika Skylight Banda wanakuwa Thai Village wakikupa burudani ya nguvuuuu na suprizeee kibaooooo,Usikose Ijumaa Hii.


Digna Mbepera akipiga Vocal Kaliii kabisa na kwa madaha ili kuwapa burudani mashabiki na wapenzi wa Skylight Band ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.


Tamu ya warembo Sam Mapenzi akizitiririsha Sauti kaliiii na zenye utamu kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band.

Si umeona viuno Hivyooooo Usikose leo Thai Village upate burudani ya kufa mtu.

Babaa ya Kongo Sony Masamba Akizipiga zile za kikongo kwa umakini kabisaaaaa ndani ya Thai Village ili kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band.


Baraka zakooo ziweee na Mimiiiiii kwa mkono wakooo kweliii umenibarikiiiiiiiii Le Meneja Her Self Aneth Kushaba(katikati)akiimba kwa upoleeee kabisaaa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Kweli Skylight kuna Mengi Operation Manager wa MOblg, Zainul Mzige akapata na Bahati ya kukutana na Classmate wake wa kitambooooooo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni