.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 8 Agosti 2014

WAZIRI MKUU MH. PINDA AWASILI JIJINI MWANZA KUFUNGA MAONYESHO YA NANENANE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 7, 2014 ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane mjini Mwanza August 8, 2014.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi, Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Erasto Zambi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 7, 2014 ambako August 8,2014 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane jijini Mwanza . Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo na kulia ni mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo kwenye Ikulu ya Mwanza August 7, 2014 ambako August 8 anatarajiwa kufunga maonyesho ya wakulima Nanenane jijini Mwanza August 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni