.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Agosti 2014

VIFO VYA WALIOKUFA KWA TETEMEKO LA ARDHI CHINA VYAFIKIA WATU 381

China imetuma wanajeshi 2,500 katika mkoa wa kusini magharibi katika mkoa wa Yunnan, baada ya tetemeko lardhi kuua mamia ya watu.

Watu wapatao 381 wamekufa na wengine zaidi ya 1,800 wamejeruhiwa baada ya tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.1 kutokea hapo jana.

Kikosi cha jeshi la China wakiwa na vipimo vya kubaini mtu aliyehai wanaelekea katika mkoa huo kusaidia jitihada za uokoaji watu kwenye mkoa huo.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni