.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Agosti 2014

MAREKANI KUPELEKA WATAALAM WA AFYA 50 AFRIKA MAGHARIBI KUDHIBITI EBOLA

Marekani imetangaza mpango wa kutuma wataalam wa afya 50 Afrika Magharibi kusaidia kukabiliana na mlipuko hatari wa ugonjwa wa Ebola.

Afisa Mwandamizi wa Afya wa Marekani amesema mlipuko huo wa Ebola unaonekana kushindwa kudhibitiwa na kusisitiza lazima udhibitiwe.

Ugonjwa wa Ebola umeshauwa watu 728 katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone tangu kutokea kwa mlipuko wake.

Wakati huo huo daktari wa Marekani aliyeambukizwa Ebola anaendelea vizuri tangu arejeshwe Marekani akitokea Liberia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni