.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 7 Agosti 2014

WAKRISTO WENGI WA IRAK WAKIMBIA MJI ULIOTWALIWA NA WAPIGANAJI WA KIISLAM

Maelfu ya wakristo wameripotiwa kukimbia mji uliotwaliwa na wapiganaji wa Kiislam wa kundi la IS nchini Irak.

Kundi hilo la Dola ya Kiislam limeutwaa mji wa Qaraqosh ulipo mkoa wa Nineveh usiku wa kuamkia leo na kuvitimua vikosi vya Kikurdi.

Shirika moja la Kimataifa la Kikristo limesema karibu robo ya wakristo wa Irak wanaishi mji wa Qaraqosh pamoja na miji mingine inayouzunguka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni