.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Agosti 2014

WAREMBO REDD'S MISS TEMEKE WAJIFUA VILIVYO RIO GYM & SPA EXTRA

 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd’s Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra Jengo la Golden Jubilee, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika TCC Club, Chang’ombe Agosti 22, mwaka huu.

                                                           Ni mazoezi kwa kwenda mbele.

    PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA,KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni