Watu 65 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 120 wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea katika kiwanda kimoja cha vifaa vya magari leo asubuhi katika mji wa Kunshan katika jimbo la Jiangsu.
Kiwanda hicho kinaelezewa kuwa kimeajiri wafanyakazi 450, na wakati mlipuko huo unatokea inasadikiwa kuwa zaidi ya wafanyakazi 200 walikuwa kazini.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni