.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 2 Agosti 2014

WAZIRI MKUU MH. PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI MKOANI MBEYA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kongamano lauwekezaji la Nyanda za Juu kusini kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya August 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Abbas Kandoro (kushoto) na Mkuu wa WIlaya ya Wanging’ombe,, Esterina
Kilasi kutoka kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya baada ya kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Nyanda za Juu Kusini August 1, 2014. 
  
                                                                           (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni