.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 7 Agosti 2014

WAZIRI MKUU MH PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA MIFUGO DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mapishi ya pilau la kuku ya Mama Irene mamuya (kulia) wa Chako ni Chako Dodoma katika maonyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma Auguast 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Ngombe mwenye kilo 1000 kutoka Mafinga Iringa akipita mbele ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mashindano ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Nzuguni wa Nanenane mjini Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu) 
Ngombe wakiwa wamejipanga katika maonyesho ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Nanenane wa Nzuguni uliopo Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kukagua banda la Wizarahiyo katika monyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni