Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger amefurahishwa na kiwango bora cha mshambuliaji wake mpya Yaya Sanogo aliyemsajili msimu huu toka klabu ya Auxerre, baada ya mchezaji huyo kufunga mabao 4 kati ya mabao 5-1 iliyoyapata Arsenal dhidi ya Benfica hapo jana.
Katika mchezo huo wa kuwania kombe la Emirate, pia mchezaji Joel Campbell aliifungia Arsenal bao moja na kumpa matumaini makubwa Wenger ya kufanya vizuri katika ligi kuu ya Uingereza baadaye mwezi huu kutoka na kiwango bora kilichoonyeshwa na wachezaji wake.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiufuatilia mchezo huo kwa umakini
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni