.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Septemba 2014

ADNAN JANUZAJ AMUONYESHA KIWANGO KOCHA LOUIS VAN GAAL KWA KUPACHIKA HAT-TRICK

Kinda wa Manchester United Adnan Januzaj amepachika kimiani mabao matatu yaani hat-trick wakati kocha Louis van Gaal akishuhudia kikosi cha timu hiyo cha wachezaji wa umri wa chini ya miaka 21.

Katika mchezo huo beki Luke Shaw aliyesajiliwa na Manchester United katika msimu huu naye alicheza, wakati klabu hiyo iliibuka na ushindi wa mbao 4-0 dhidi ya Sunderland.
                                     Kocha Van Gaal akiangalia vitu vya Adnan Januzaj

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni