.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Septemba 2014

KIJANA MKENYA ANAYEFANANA MNO NA KANALI BESIGYE AKUTANA KIONGOZI HUYO

Aliyekuwa kiogozi wa chama cha siasa cha Democratic Change nchini Uganda Kanali Kizza Besigye amekutana na kijana Jeff Ochieng kutoka Kenya ambaye anafanana mno na mwanasiasa huyo maarufu.

Ochieng mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akimtafuta baba yake mzazi kwa miaka tisa sasa tangu mama yake afariki dunia na amekuwa akijiuliza iwapo Kanali Besigye ni baba yake mzazi.

Kijana Ochieng mwenye miaka 22, aliwasili Uganda kumuuliza Kanali Besigye iwapo wanauhusiano lakini baada ya maelezo yao ya muda mrefu, imebainika kuwa hakuna uwezekano wa Ochieng kuwa mtoto wa Kanali Besigye.
                                                  Kanali Kizza Besigye akiwa na familia yake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni