Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi
wa kijiji cha Ghana alipowasili kijijini hapo kwa kufungua rasmi
kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na
Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo
Sept 21-20014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua
rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na
Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoa kitambaa
kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa
kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa mnazi wa
kumbukumbu baada ya kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na
Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati
Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Wananchi wa
kijiji cha Ghana baada ya kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa
na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo. (Picha zote na OMR).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni