.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Septemba 2014

MKE WA BESTMAN AJIFUNGUA NDANI YA GARI WAKATI RAFIKI YAKE AKIFUNGA NDOA

Mke wa mpambe wa kiume wa bwana harusi mmoja nchini Uingereza amejifungua nje ya ukumbi wa harusi akiwa ndani ya gari baada ya kupatwa na uchungu hafla.

Mwanamke huyo alipatwa na uchungu wakati walipofika katika ukumbi huo na kujifungua garini huku mashuka ya hoteli aliyotumika kufunga harusi hiyo yakitumika kulifunika gari alilokuwa akijifungulia.
Bibi harusi Amanda Vasey, mzazi Amanda Hutchinson na mwanae wa mwaka mmoja Alfie, na kichanga kikiwa kimebebwa na baba Gareth Hutchinson pamoja na bwana harusi Steven Vasey.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni