.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Septemba 2014

MTU MMOJA APIGWA RISASI NA KUFA MAHAKAMANI JIJINI COPENHAGEN

Mtu mmoja amepigwa risasi na kufa na mwingine kujeruhiwa katika jengo la Mahakama Jijini Copenhagen nchini Denmark.

Mtu mmoja ameripotiwa kufyatua risasi ndani ya mahakama hiyo iliyopo kati kati ya Jiji hilo, ambapo kunataarifa za kufyatuliwa kati ya risasi tano ama sita.

Polisi wamesema mtu mmoja anashikiliwa pamoja na kukutwa bunduki aina ya shotgun katika eneo la tukio.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni