.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Septemba 2014

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YA KISERIKALI KATIKA VISIWA VYA COMORO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou Dhoinine baada ya mazungumzo Ikulu Mjini Comoro jana,akiwa katika ziara ya kiserikali na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou Dhoinine Ikulu Mjini Comoro jana,Dk.Shein yupo Comoro kwa ziara ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Rais wa Jamuri ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou Dhoinine wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa ujumbe Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika ziara ya kiserikali nchini Comoro. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni