.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Septemba 2014

NAIBU IGP AKUTANA NA MAKAMISHNA WA POLISI KUTOKA NAMIBIA

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,Abdulrahman Kaniki akimkabidhi zawadi Kamishna wa Polisi wa Namibia Bw.Schalk Meuwesen ofisini kwake jana.Kamishna huyo yupo nchini kwa ziara ya siku tatu akiwa na maafisa wengine kutoka Namibia kujifunza jinsi Jeshi la Polisi Tanzania lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi).

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,Abdulrahman Kaniki akimfafanulia namna maboresho ya Polisi yalivyoanza Kamishna wa Polisi wa Namibia Bw.Schalk Meuwesen ofisini kwake jana.Kamishna huyo yupo nchini kwa ziara ya siku tatu akiwa na maafisa wengine kutoka Namibia kujifunza jinsi Jeshi la Polisi Tanzania lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi).


Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,Abdulrahman Kaniki akiwafafanulia namna maboresho ya Polisi yalivyoanza Makamishna wa Polisi kutoka Jeshi la Polisi la nchini Namibia Bw.Schalk Meuwesen na Bw.Abed Kashihakumwa ofisini kwake jana.makamishna hao pamoja maafisa wengine wapo nchini kwa ziara ya siku tatu kujifunza jinsi Jeshi la Polisi Tanzania lilivyofanikiwa katika kutekeleza Maboresho yake.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni