.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Septemba 2014

ZLATAN IBRAHIMOVIC APACHIKA TATU WAKATI PARIS SAINT GERMAIN IKIICHAKAZA ST ETIENNE

Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic amerejea dimbani kwa kishindo baada ya kuwa majeruhi na kufunga mabao 3 yaani hat-trick wakati timu yake ya Paris Saint Germain ikishinda 5-0 dhidi ya St Etienne hapo jana jioni.

Mchezaji huyo wa kimataifa raia wa Sweden, ambaye alikuwa nje ya dimba kwa wiki tatu akisumbuliwa na maumivu ya tumbo, ameonyesha makali yake katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Parc des Princes.
                                                                   Ibrahimovic akifanya vitu vyake
                                                                      Cavani nae alicheka na nyavu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni