.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 16 Oktoba 2014

BALOZI KAMALA NA KATIBU MKUU WA TAASISI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI


Balozi wa Tanzania Ubelgji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kusambaza Umeme Vijijini katika nchi zinazoendelea Bwana. Marcus Wieman (katika). Bwana Wieman alikutana na Balozi Kamala leo Brussels kumweleza mipango ya taasisi yake ya kusambaza umeme vijijini katika nchi zinazoendelea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni