.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Oktoba 2014

BOKO HARAM YAWATEKA TENA WANAWAKE NA WASICHANA NCHINI NIGERIA

Makumi ya wanawake na wasichana kutoka katika vijiji viwili kaskazini mashariki mwa jimbo la Adamawa nchini Nigeria wametekwa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.

Taarifa za utekaji huo zimetolewa na wakazi wa vijiji hivyo ingawa hadi sasa mamlaka za serikali hazijathibitisha.

Wakazi wa vijiji hivyo wamesema tukio hilo limetokea siku moja tu kupita jeshi la Nigeria tangu kutangaza kusitisha mapambano na Boko Haram, katika kujaribu kuachiwa huru wasichana 200 iliowateka mwezi Aprili.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni