Muonekano wa gereza la Kgosi Mampuru II.
Mwanariadha Oscar Pistorius jana alianza maisha ya jela katika gereza la Kgosi Mampuru II mjini Pretoria.
Mwanariadha huyo alihukumiwa kifungo cha miaka 5 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa kumpiga risasi bila kukusudia siku ya wapendano February 14' 2013 wakiwa nyumbani kwake.
Gereza hili ni moja ya magereza yenye ulinzi mkali nchini Afrika Kusini.
Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni