.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 25 Oktoba 2014

KATIBU MKUU CHEDEMA, DR SLAA AWASILISHA MADA MKUTANO ULIOANDALIWA NA TCD VISIWANI ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willibrod Slaa akiwasilisha mada juu ya ushiriki wa vyama vya siasa katika mageuzi Afrika katika mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu kwa vyama vya siasa ulioandaliwa na kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na kufadhiliwa na Taasisi ya Demokrasia ya vyama vingi ya Uholanzi (NIMD). Mkutano huo unahudhuriwa na vyama kutoka Malawi, Ghana, Uganda na wenyeji Tanzania na kufanyika Zanzibar.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni