Mwanadada Kim Kardashian jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 34.
Kim ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha luninga cha Keeping Up With The Kardashian's ambacho huruka Channel E, alitumiwa salaam za pongeza na mume wake ambaye ni mwanamuziki mahiri, Kanye West akimtakia maisha marefu na kumpongeza kwa kufikisha miaka 34 hapo jana.
Mbali ya West, pia mama yake Kim, Kris Jenner alimtumia salaam za pongezi huku akimwandikia ujumbe kuwa " yeye mtoto, mke na mama mwema"
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni