.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 2 Oktoba 2014

KLABU BINGWA BARANI ULAYA, LIVERPOOL YALALA MBELE YA BASLE HUKU BALOTELLI AKIPEWA KADI YA NJANO


Mshambuliji wa Basle Marco Strelleruk ameiongoza timu yake kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wageni wao Liverpool katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya uliochezwa jana usiku katika uwanja wa St Jakob Park. 

Mchezo huo wa kundi B umewaacha vijana wa kocha Brendan Rodgers kuondoka vichwa chini pamoja na kucheza soka la kuvutia lakini bahati haikuwa yao.
Wachezaji wa Liverpool wakiwa wamenywea baada ya mpira kumalizika huku wakiwa wamelala kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao Basle.
Mario Balotelli akipewa kadi ya njano huku kocha wa Liverpool Brendan Rodgers akiwa ni mwenye masikitiko kwa kupoteza mchezo huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni