.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 2 Oktoba 2014

KOCHA SAID CHAKU AMNOA AZIZI RASHIDI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA AZIZI ABDALLAH SIKU YA NYERERE DAY

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG
Kocha wa mchezo wa ngumi Said chaku kulia akiwaelekeza mabondia wa Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha naSUPER D BLOG
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde mazito bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG
Kocha wa mchezo wa ngumi Said chaku kulia akiwaelekeza bondia Mussa Mgosi wa klab ya Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha na SUPER D BLOG

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni