.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 26 Oktoba 2014

LIGI KUU NCHINI UINGEREZA, MANCHESTER CITY HOI KWA WEST HAM UNITED

Mabingwa watetezi wa kombe la ligi kuu nchini Uingereza, timu ya soka ya Manchester City jana walikiona cha moto baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 toka kwa West Ham United waliokuwa nyumbani. 

Katika mchezo huo wa ligi kuu, Man City walijikuta wakiendelea kupunguzwa kasi ya kuutetea ubingwa wao baada ya kukubali kipigo hicho kwa mabao yaliyowekwa kimiani na wachezaji Morgan Amalfitano kunako dakika ya 21 na bao la pili la West Ham likiwekwa kimiani na Diafra Sakho 75.
Bao la kufutia machozi la Manchester City lilifungwa na David Silva katika dakika ya 77 ya mchezo huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni