LIGI KUU UINGEREZA KUTIMUA VUMBI LEO, MAN CITY WAPO NYUMBANI WAO CHELSEA KUKIPIGA UGENINI
Ligi kuu nchini Uingereza itaendelea leo katika viwanja mbalimbali. Wakati mabingwa watetezi wa ligi hiyo Manchester City watakuwa katika uwanja wao wa nyumbani Etihad kucheza na Tottenham, wao vinara wa ligi hiyo mpaka sasa Chelsea watakuwa ugenini kucheza na Crystal Palace.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni