Askari wa Farasi kutoka Kikosi cha FFU wakihakikisha wakiwa katika doria nje ya Uwanja wa Taifa kabla ya mchezo.
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana namshambuliji wa Simba, Elius Maguri (katikati) huku Kelvin Yondani wa Yanga akiwa tayari kutoa msaada wakati wa mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana. (Picha na Francis Dande)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni