.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 17 Oktoba 2014

MHE. CHARLES KITWANGA ATEMBELEA MIRADI YA UMEME INAYOFADHILIWA NA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) KATIKA MKOA WA PWANI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantum Mahiza (aliyesimama mbele) akielezea mchango wa nishati ya umeme katika ukuaji wa uchumi wa mkoa huo, katika kikao chake na Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Mhe. Charles Kitwanga. Mhe. Kitwanga yuko ziarani mkoani humo ambapo anatembelea miradi ya umeme inayofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na kuzungumza na wananchi.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Mhe. Charles Kitwanga, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kituo cha umeme cha Chalinze.
Picha Na 8 
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Mhe. Charles Kitwanga (katikati) akitoa maelekezo kwa wataalamu wa shirika la Tanesco katika kituo cha Chalinze ya jinsi ya kuboresha hali ya umeme katika mji wa Chalinze.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni