.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 14 Oktoba 2014

MTUMISHI WA UMOJA WA MATAIFA AFARIKI DUNIA KWA EBOLA NCHINI UJERUMANI

Muajiriwa wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa virusi vya Ebola akiwa Afrika Magharibi amefariki dunia baada ya kuwasili nchini Ujerumani wiki iliyopita kwa ajili ya matibabu.

Taarifa fupi iliyotolewa leo na hospitali ya St Georg Clinic in Leipzig, imesema mgonjwa huyo amefariki dunia jana usiku.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni