.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 14 Oktoba 2014

MWANAMITINDO NAOMI CAMPBELL BADO ANAMVUTO LICHA YA UMRI KWENDA

Mwanamitindo Naomi Campbell bado anamvuto licha ya kuwa na umri wa miaka 44 ambapo jana usiku alinaswa akitoka kwenye tuzo za Attitude Awards.

Mkongwe huyo alionekana Jijini London akitoka jumba la Banqueting akiwa amevaa vazi jeusi lenye mvuto la Roberto Cavalli lililokuwa na shanga zinazong'ara kwenye taa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni