Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya
ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya tutmishi wa Umma
lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Umma
lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa tatu kushoto) pamoja na
makatibu wakuu Kiongozi wastaafu Matern Lumbanga(kulia) na Philemon
Luhanjo(kushoto)(picha na Freddy Maro)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni