Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu Norman Sigala pamoja na
Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya
City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndugu
Jema Msuya. Kushoto kwenye picha ni Mkurugenzi wa masoko wa benki ya Posta Mr
Deogratius Kwiyukwa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni