Waandishi wa habari waliofanikiwa kufika hatua ya fainali ya Tuzo za Cnn Multichoice African Journalist Awards 2014 watatunikiwa tuzo zao siku ya jumamosi Oktoba18' 2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Picha chini ni Waandishi hao kutoka nchi mbalimbali za Afrika walioingia fainali
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni