.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 25 Oktoba 2014

UGONJWA WA EBOLA WASHIKA KASI, MPAKA SASA ZAIDI YA WATU 10,000 WANA MAAMBUKIZI

Ripoti ya hivi karibuni iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani imesema maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Ebola yamefikia watu 10,000 huku zaidi ya watu 4,922 wakifariki dunia kutokana na kuugua ugonjwa huo. 

Ripoti hiyo imesema kuwa nchi ya Liberia ndiyo iliyoathiriwa zaidi na ugonjwa huo ambayo tayari watu 2,705 wamefariki dunia ikifutaiwa na Sierra Leone ambayo watu 1,281 wamefariki dunia na watu 926 nchini Guinea. 

Nigeria vimeripotiwa vifo 8, Mali 1 na Marekani 1.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni