Shirika la Afya Duniani (WHO)
limesema vifo vya mlipuko wa Ebola vimeongezeka na kufikia watu 4,447
huku idadi kubwa ya vifo hivyo vikitokea Afrika Magharibi.
Mkurugenzi Msaidizi wa WHO, Bruce
Ayward amesema kutokuwa na maambukizi mapya 10,000 katika wiki ndani
ya miezi miwili, iwapo jitihada hazitofanyika.
Hata hivyo amesema idadi ya
maambukizi mapya katika baadhi ya maeneo yamepungua. Nchi za Sierra
Leone, Liberia na Guinea ndizo zilizoathiriwa mno na mlipuko huo.
Nchi za nje zilizokuwa na wagonjwa wa Ebola
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni