Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa pili kutoka kushoto akimsikiliza Katibu
Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw.Adoh Mapunda muda mfupi kabla ya Bw. Mapunda kufungua
kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kilichoanza
leo jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa tatu kutoka kulia akimkaribisha Katibu
Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adoh Mapunda kwenda kufungua kikao cha Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kilichoanza leo jijini Arusha
katika hoteli ya Corridor Springs, wa kwanza kutoka kulia ni Naibu Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki anayefuatia ni Kamishna Mkuu wa
Idara ya Uhamiaji Sylivester Ambokile.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adoh Mapunda wa kwanza kutoka kulia akifurahia jambo na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mbarak Abdulwakil baada ya Bw. Mapunda
kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
kilichoanza leo jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa pili
kutoka kulia akiimba wimbo wa Solidarity
Forever pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, wa pili kutoka kulia ni Katibu wa Baraza hilo la Wafanyakazi la
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jenitha
Ndone.Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi limeanza leo jijini Arusha katika hoteli ya Corridor
Springs
Sehemu ya wajumbe wa kikao cha Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiimba wimbo wa Solidarity
Forever wakati wa kikao hicho, kinnachoendelea jijini Arusha katika hoteli ya
Corridor Springs, wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa
Jamii Fidelis Mboya.
Sehemu ya wajumbe na wakuu wa Idara mbalimbali za
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi waliohudhuria kikao cha Baraza la Wafanyakazi
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
katika picha ya pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw.Adoh
Mapunda muda mfupi baada Bw. Mapunda
kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
kilichoanza leo jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs.
Sehemu ya wajumbe wa kikao cha Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakishiriki kikao hicho kinachoendelea jijini Arusha katika hoteli ya
Corridor Springs, wa kwanza kutoka
kushoto ni Avelin Momburi ambaye ni
Mkurugenzi wa Utawala na Fedha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
Bw. Peter Mbelwa kutoka Mamlaka ya Kudhibiti Mifuko ya Hifadhi
ya Jamii (SSRA) akitoa mada kuhusu Maandalizi ya kustaafu katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi kinachoendelea jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni