Dada mdogo wa Kiongozi wa Korea
Kaskazini Kim Jong-un amepatiwa nafasi ya ngazi ya juu ya uongozi wa
chama.
Chombo cha Umma kimesema Kim
Yo-jong, ambaye umri wake unakadiriwa kuwa ni kati ya 20 kwenda juu
amepewa cheo cha makamu mkurugenzi wa idara yenye mamlaka ya juu ya
Kamati Kuu ya chama cha KCNA.
Rais Kim Jong-un ni kizazi cha tatu
cha familia ya Kim kuongoza taifa la Korea Kaskazini.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni