Mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao Basle katika mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya.
Bao hilo safi lilipatikana katika dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza kupitia kwa Cristiano Ronaldo akimalizia mpira uliochongwa na Karim Benzema.
Mashabiki wakiwa wamevamia uwanjani kwenda kukutana na Cristiano Ronaldo mara baada ya mchezo huo kumalizika.
Mashabiki hao wakidhibitiwa na walinzi huku Cristiano Ronaldo akiwa ameduwaa.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni