Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na
Mbunge wa jimbo la Neawala Mh George Mkuchika mara baada ya kuwasili mjini Newala akiwa katika ziara ya kikazi katika
mkoa wa Mtwara ziara yenye lengo la kukagua na kuhimiza Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na
wananchi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
viongozi wa kiwanda cha kubangua korosho mjini Newala kulia Niry Patel Mratibu
wa Usafirishaji na katikati ni Ednyadayu
Meneja wa ufundi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
kubangua korosho na wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza
Mhandisi wa Maji Newala Bw. Nsajigwa Said wakati alipotembelea chanzo cha maji
cha Malatu mjini Neawala.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua mradi
wa maji katika kata ya Malatu kushoto ni mkuu wa mkoa wa Mtwara B. Halima
Dendegu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki
kusuka nondo katika ujenzi wa tanki la maji la kijiji cha Kilidu kwa pamoja na
wafanyakazi wa katika mradi huo wa tatu kutoka kulia aliyesimama ni Mbunge wa
jimbo la Neawala Mh. George Mkuchika.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo
kutoka kwa Dr Yudas Ndugile Mganga mkuu wa wilaya ya Newala wakati alipokagua
jengo jipya la Kituo cha Afya Mkwedu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa wilaya ya
Newala BwMarx Simon Kamaoni na Mkuu wa mkoa wa Mtwara Bi. Halima Dendegu.
Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
akishuhudia aliyekuwa Kaimu
Mwenyekiti wa Wilaya ya Newala Chadema
Bw. Adam Nangwanda Sijaona akivua shati la CHADEMA na kuvaa la CCM mara baada
ya kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye viwanja vya Mahakama mjini Newala. Picha kwa hisani kubwa ya Kikosi Kazi cha Fullshangwe Blog.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni