.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Novemba 2014

LIGI KUU UINGEREZA, CHELSEA HAIKAMATIKI YAITANDIKA WEST BROM 2-0

Vinara wa ligi kuu nchini Uingereza, Chelsea wameendeleza rekodi yao ya ushindi mfululizo kwa kila mechi baada ya jana kuitandika West Brom kwa jumla ya mabao 2-0 katika mchezo wa ligi hiyo uliochezwa katika uwanja wa Stamford Bridge. 

Bao la kwanza la matajri hao wa London lilifungwa na mshambuliaji mwenye uchu wa mabao, Diego Costa na bao la pili likafungwa na Eden Hazard.
          Kwa matokeo hayo, Chelsea imeendelea kukaa kileleni ikiwa na pointi 32
                                       Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho akitoa maelekezo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni