.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Novemba 2014

PROFESA MWANDOSYA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO ( SAUTI ) MWANZA

Waziri wa Nchi(Kazi Maalum) Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.
                                                                               Maandamano yakiendelea
Profesa Mwandosya,Rev Dr Thadeus Mkwama,Makamu Mkuu wa SAUT,na Mwadhama Baba Askofu Desderius Rwoma,Mkuu wa Chuo,wakiwa kwenye maandamano ya ya taaluma, ya Maprofesa.
Waziri Mwandosya akisalimiana na wakufunzi wa SAUT.
 Picha ya pamoja ya Prof. Mwandosya na wahadhiri wa SAUT baada ya mahafali.

                               Waziri Mwandosya akitoa mhadhara kwenye mahafali hayo


Mgeni Rasmi katika Mahafali,Profesa Mark Mwandosya,Waziri wa Nchi(Kazi Maalum) Ofisi ya Rais, akipokea shukrani za Chuo Kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Rev.Dr Thadeus Mkamwa.Anayeangalia kushoto ni Baba Askofu Desderius Rwoma, Mkuu wa Chuo Kikuu hicho.

Mgeni Rasmi Prof. Mark Mwandosya akiwa na Uongozi wa Chuo na Uongozi wa Mkoa.Kutoka Kushoto kushoto ni Prof. Cathian Magori,Mkuu wa Chuo Kikuu cha Saut tawi la Ifakara,Dr Dominic Negussie,Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo,Mhandisi Evarist Ndikilo,Mkuu wa Mkoa, Rev.Dr Thadeus Mkamwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu,Saimon Filbert Rais wa Serkali ya Wanafunzi SAUT.Waziri Mwandosya,Mhe Baraka Konisaga,Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana,Baba Askofu Rwoma,Mama Lucy Mwandosya,na Marygoreth Gervas,Makamu wa Rais Serikali ya Wanafunzi SAUT

Waziri Mwandosya na Mkuu wa Mkoa Eng.Ndikilo (wa pili kulia) wakiwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni