.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Novemba 2014

LUIS SUAREZ AANZA KAZI FC BARCELONA, ACHANGIA USHINDI WA 4-0 KATIKA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA APOEL NICOSIA

 Luis Suarez usiku wa kuamkia leo alifunga bao lake la kwanza wakati akiichezea FC Barcelona katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya Apoel Nicosia, mchezo uliomalizika kwa Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 ikiwa ugenini. 

Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na mshambuliaji wake aliye kwenye kiwango bora Lionel Messi.
Mashabiki wa Apoel Nicosia wakiwa wamewasha fataki uwanjani wakati wa mchezo huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni